Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

ndugu yenu naangamia kwa kukosa kazi ya kujishuhulisha kabisa
2 Reactions
7 Replies
90 Views
Wadau nimeshafanya uhamisho huu online, status inasoma ALLOWED, kwa waliowahi kufanya uhamisho huu nini kinafuatia baada ya hapo natanguliza shukrani.
0 Reactions
8 Replies
258 Views
Wachezaji ni kama kausha damu tu, msimu mzima ucheze mechi tatu na uikamue klabu milioni 300 za mshahara, usajiri na bonus, wastani wa milioni 100 kwa kila mechi. Je, huu ni uungwana? Kwanini...
2 Reactions
18 Replies
123 Views
Gari mbili za kampuni ya Dangote zimegongana na watu wawili wanahofiwa kupoteza maisha. Ajali imetokea eneo la Njonjo barabara ya kueleke mikindani
3 Reactions
15 Replies
138 Views
Yaani sielewi Yani, hivi mnawezaje kuvumilia vishawishi vya nnje?? Yani nipo na mwanamke hapa nmelala nae lakini akili akili ipo Kwa kidada kimoja kizur cheupe chenye makalio mazuri nachokionaga...
15 Reactions
82 Replies
2K Views
Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili. . Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu...
6 Reactions
16 Replies
379 Views
Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji. Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa. Kuna baadhi ya...
3 Reactions
17 Replies
214 Views
ROCKBITCH BAND : kundi la wasanii wa kike linalofanya mapenzi na mashabiki zao Wasanii hao wakike ambapo katikati ya show huwa wanarusha vitu maalum kwa mashabiki wao .....wenyeewe wanaviita...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana Nawatakia Dominica Njema 😄
2 Reactions
37 Replies
173 Views
Salama Wakuu? Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN...
10 Reactions
92 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,297
Posts
49,569,391
Members
667,846
Latest member
madoree
Back
Top Bottom