Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar bwana Abbas Mtevu amewataka wajumbe wenye dhamana ya kupitisha wagombea wa Ubunge na udiwani kupitisha wagombea ambao wanakubalika Kwa Wananchi vinginevyo...
Rwanda Kupitia bwana Paulo Kagame imeendelea kuipapasa na kuiparura DRC Kwa namna tofauti ikiwemo kufanya Mauaji ya kiholela,kuteka Miji na Vijiji na kupora Mali Kupitia tawi la M23 lakini wababe...
Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa...
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali...
Aliyesema kilimo ni uti wa mgongo au kale kamsemo ka mhenga kuwa kama mnataka mali mtayapata shambani aje zanzibar.hata ule msemo wa kwenye bible kuwa hasiyefanya kazi asile aje unguja atengue...
Huwa unamfuta mwenzako au mkishamaliza kila mtu atajijua.
Hujui kumfuta mwenzako ni kitu kizuri, unaishika unaingeuza huku na huku ukimfuta akiwa ametandaza miguu yake au amenyoosha miguu yake...
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna...
Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani.
Posho yake ni 70,000/= kwa mwezi.
Awe anajitambua.
Tuwasiliane inbox 📥
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.