Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG
Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu...
Nina jamaa zangu wa makabila haya kwakweli kusoma chats zao huwa ni mateso sana.
Wenzangu mmewahi kumbana na hili?
Unaweza weka screenshot bila kuonesha namba au jina la mhusika.
Wajameni eeh,
Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.
Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e...
Sitafuti kuwa mkamilifu kwenye Kiingereza, ila nimekataa kuwa chini ya "level" 5.
Kuhitimu Chuo Kikuu si tiketi ya kuongea lugha kwa ufasaha. Hata wazawa wa "English" kuna ambao bado...
Ni vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Ni kawaida sana kusikia mama akisifiwa kwa kuzaa photocopy ya mume wake, bila kujua kwamba ile process ya ‘photocopying’ haikufanyika tumboni kwa mama, bali ilianza kwenye ‘Gonads /(Korodani)’ za...
Tuwekane sawa
#Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu.
#Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.