Mauzo ya simu za iPhone zinazotengenezwa na kampuni ya Apple yameshuka duniani kote kwa asilimia 10 katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2024.
Hayo yamebainishwa na utafiti uliofanywa na...
Salaam wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufaham jinsi kuingiza sauti kwenye video kama wanavyofanya baadhi ya maDJ wanaotafsili picha mbalimbali na kuingiza sauti ndani ya picha...
Habari ndgu zangu niliumia mazoezini December 2022 goti likavimba baadae nikaenda hospital nikafanya vipimo kama x ray,MRI ya goti ikabainika nimepata impacted Trabecular fracture on medial tibia...
Nimeajiriwa ngazi ya chini serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa.
mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo.
Nina mawazo kuacha kazi...
Imeandikwa kwenye kitabu cha Injili ya Yohana 11 kwamba " When Jesus learned about the death of his friend Lazurus his soul was troubled"
This was me today after I learned about the passing...
Ni vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa...
Sanjari na alivyokuwa akisisitza Nyerere (RIP):
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita...
Mnec Richard Kasesela Leo amefika KKKT Kimara na Kutubu huku akilia sana baada ya kumkuta Mtu aliyemfukuza Kazi Iringa Mjini akiwa ni Muhubiri anayetumainiwa hapa jijini DSM Mwinjilisti Mwaulesi...
Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.