Kwa miaka zaidi ya ishirini wananchi wa kata hizo hapo juu kwenye manispaa ya Kigamboni tumekuwa kwenye hatari za maisha ya umiliki wa ardhi yetu umekuwa hauna hatma. Ilianza kwa Jeshi miaka ya...
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
Nina jamaa zangu wa makabila haya kwakweli kusoma chats zao huwa ni mateso sana.
Wenzangu mmewahi kumbana na hili?
Unaweza weka screenshot bila kuonesha namba au jina la mhusika.
Habari za weekend wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima…
Niende kwenye mada, nina eneo la kutosha na lenye banda la kisasa maeneo ya CHANIKA-Dar nimeanza ufugaji wa Ng’ombe kwasasa yupo mmoja...
Wajameni eeh,
Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.
Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e...
Siku ya jana Kanisa la wasabato mafia limebomolewa na kimbunga cha hidaya
Siku ya jana pia mvua zimebomoa msikiti saudi arabia
Binafsi najiuliza Mungu mwenye nguvu mbona hazilindi nyumba...
Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
Wakuu nawaheshimu sana kwa kuwa kanuni mojawapo ya ubinadamu sahihi ni kuheshimu usiemjua mpaka utakapomjuwa:
Mimi ni miongoni mwao wafuatliaji wa muziki wa aina tofauti duniani, kama POP na SOUL...
Ni vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, ambazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.