Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimetembea na wake za watu sana, kwa uozo nilioushuhudia niliapa kabisaa sintakuja kuoa ila leo nimetengua kauli yangu, jamani mapenzi matamu asikwambie mtu, duh! Nimempata binti, mtoto mdogo...
2 Reactions
11 Replies
125 Views
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
3 Reactions
127 Replies
2K Views
Rafiki yangu mpendwa, Kukosa muda imekuwa ndiyo kisingizio kikuu cha wale walio kwenye ajira na hawajawa na biashara. Unakuta mtu yupo kwenye ajira, ambayo inampa kipato kidogo na...
0 Reactions
1 Replies
32 Views
Haiingii Akilini Mlinzi unaagana nae Usiku Saa 4 unamuacha kakaa Lindoni huku Taa inammulika, ukiamka Usiku Kimachale ili nawe pia kufanya Lindo lako la Kisirisiri kwani Siku hizi hakuna...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
13 APRIL 2024 1 MIN READ South Afrika yaongoza duniani kwa kuwa na wanawake wenye viuno pana na umbo la kuvutia Afrika Kusini ilishika nafasi ya kwanza, ikiwa na wastani wa nyonga ya inchi 41.73...
0 Reactions
2 Replies
36 Views
Habari Wana JF ! Ni hakika Kwamba ni mambo (Siri) mengi yamefichwa Kwa mamillion ya watu Duniani kote , lakini ukijaribu kuwaambia watu Ukweli HAWAKUELEWI . Ni hivi Ulimwengu huu wa sasa...
1 Reactions
5 Replies
45 Views
Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa
7 Reactions
72 Replies
2K Views
Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na...
4 Reactions
44 Replies
846 Views
Wataalam habari ya majukumu. When i want to download pdf, word and excel files i get the pop up message "WhatsApp download failed. Please try again later". Nimetafuta na kujaribu tutorial youtube...
0 Reactions
2 Replies
34 Views
Kama unataka kuwa mwanasiasa maarufu Tanzania basi wewe onesha unapambana na CHADEMA. Kuna wakati Mzee Wasira aliomba kura ndani ya CCM kwa hoja kwamba yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na...
1 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,053
Posts
49,563,199
Members
667,755
Latest member
Ombin
Back
Top Bottom