Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nia ya Serikali ilikuwa nzuri sana kujenga Stendi ya Nyamhongolo ili iweze kuwahudumia wasafiri wote wanaoelekea upande wa Musoma, Sirari/Tarime, Bariadi, Maswa na maeneo yote ya upande huo...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
NATAFUTA MKE UWE UNAISHI DAR UWE KABILA LOLOTE KASOLO MUHAYA UWE MKRISTO KAMA SIO KUAJILIWA UWE UME JIAJILI UMRI 25_32
4 Reactions
67 Replies
400 Views
Haya chagua jibu moja tu sahihi je, unadhani kwa 100% Matatizo ya Simba SC yanamhusu nani hasa kati ya wafuatao? a. Kocha Mihasira Benchika b. Tajiri Mwekezaji Muongo Muongo c. Mwana Yanga SC...
1 Reactions
5 Replies
101 Views
Sanjari na alivyokuwa akisisitza Nyerere (RIP): "Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita...
2 Reactions
16 Replies
322 Views
Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa...
20 Reactions
56 Replies
831 Views
Una picha yako ya zamani? ya jamaa yako? Ya ndugu yako? Ama ya mtu yoyote anayejulikana na wengi ungependa ku share nasi ili tutengeneze super album ya JF? Mimi naanza na hizi. Si ngeni machoni...
63 Reactions
5K Replies
541K Views
Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, Yeye hachepuki na kwamba Yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia? Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dk. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye...
7 Reactions
32 Replies
681 Views
Tuwekane sawa #Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu. #Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
27 Reactions
174 Replies
6K Views
Nina washikaji zangu ambao sipo karibu nao saana kiasi Cha kwamba hawawezi kuniambia mishe zao, mmoja tulisoma name o-level alifeli form two akaacha shule, yeye kapanga nyumba nzima hapo...
12 Reactions
74 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,122
Posts
49,565,141
Members
667,802
Latest member
ZouhAlly
Back
Top Bottom