Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na...
4 Reactions
54 Replies
1K Views
Katika hali ya kufikirisha kumekuwa na mtiririko wa vimbunga vingi kupewa majina ya kike, mbali na Hidaya kuna Katarina, Idai, Elida, Genevieve, Emilia, ingawa vipo kadhaa vyenye majina ya kiume...
1 Reactions
12 Replies
77 Views
Nimefurahi sana leo, shabiki wa Simba Pasi Milioni ametishia kumburuza mahakamani aliyekuwa kocha wa Simba Benchika kwa madai kuwa alitaka kuua vipaji vya akina Edwin Balua, Karabaka, Duchu na...
3 Reactions
17 Replies
767 Views
  • Suggestion
Naipongeza serikali kwa ujenzi wa reli ya kisasa,pia kwa kuona kuwa hatuwezi kuendesha reli ya kisasa bila kuwa na umeme wa uhakika na wakaona wajenge Bwawa kubwa la maji la Mwl.Nyerere kwa ajili...
0 Reactions
1 Replies
10 Views
Kwa tathmini yangu ccm ndio chanzo kikubwa cha umaskini Tanzania. Kuna watu wema ndani ya ccm kama rais samia ila mfumo wa ccm sio mzuri kwa maendeleo ya taifa. 1. CCM inaifunika dola kitu...
1 Reactions
5 Replies
10 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Bila shaka umewahi kuwasikia wataalamu wa afya wakisisitiza umuhimu wa wenza kufanya vipimo mbalimbali kabla ya kuamua kuwa pamoja kwa ajili ya kutengeneza familia (kuzaa). Moja ya vipimo...
3 Reactions
3 Replies
22 Views
Habari Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi. Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
21 Reactions
252 Replies
6K Views
Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
37 Reactions
405 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,102
Posts
49,564,571
Members
667,792
Latest member
Nimechoka Sana
Back
Top Bottom