Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali...
Listen comrades, ukiwa nice guy kwenye soko la mahusiano kuna uwezekano mkubwa zaidi ukapata bidhaa ambayo tayari ishachakachuliwa na ipo nyang'anyang'a baada ya kutumika na wengi kwa muda mrefu...
huwa nashangaa kumuona kilaza akiwachukia vilaza wenzie... Au mwizi anamchukia mwizi mwenzie mfano mwendanzake aliwachukia vilaza ila yule mzee alikuwa kilaza kwelikweli..
Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa...
Nimetembea na wake za watu sana, kwa uozo nilioushuhudia niliapa kabisaa sintakuja kuoa ila leo nimetengua kauli yangu, jamani mapenzi matamu asikwambie mtu, duh! Nimempata binti, mtoto mdogo...
Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina
Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya...
Kama unataka kuwa mwanasiasa maarufu Tanzania basi wewe onesha unapambana na CHADEMA.
Kuna wakati Mzee Wasira aliomba kura ndani ya CCM kwa hoja kwamba yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.