Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
8 Reactions
89 Replies
216 Views
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua? Kufuatilia hali...
5 Reactions
254 Replies
12K Views
Ndugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu. Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo...
27 Reactions
72 Replies
1K Views
Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?" Na, Leonard julius shiganga wa mwanamatingatinga. Watu wengi hasa wale wanaopata mtaji na kuwa na nia ya kufanya biashara mbalimbali...
4 Reactions
5 Replies
738 Views
  • Sticky
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie...
86 Reactions
14K Replies
1M Views
Hawa ni Askari Polisi wa Tanzania wakimhoji binti wa Nigeria mwendesha pikipiki. Ametokea Uganda na ameeleza kuwa angeenda kupumzika/ kulala Kibondo. Japo Kizungu cha "makamanda" wetu...
6 Reactions
28 Replies
720 Views
Tunakumbushana ukubwa tu wa hiki Chama kikuu Cha Upinzani Chadema Ndani ya CCM ukistaafu Uwaziri mkuu unaweza kugombea uRais wa JMT au Umakamu Mwenyekiti wa Chama Ila Chadema Kanda ni kipimo Cha...
0 Reactions
3 Replies
91 Views
Ajali hiyo inaonesha kutokea katika barabara kuu ambapo dereva akiwa na abiria wake walipata ajali na kupelekea pikipiki kuwaka moto, abiria akiwa pembeni huku wasamaria wema wakijaribu kumnasua...
12 Reactions
165 Replies
5K Views
Habari za muda huu wana jamvi Naandika uzi huu nikiwa kwenye daladala nikirejea nyumbani kutoka kwenye "mihangaiko" ya Kila siku Ndani ya daladala nmekaa karibu na wakina mama wawili...
13 Reactions
43 Replies
970 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,978
Posts
49,561,243
Members
667,720
Latest member
AISHAT RASHID
Back
Top Bottom