Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimetembea na wake za watu sana, kwa uozo nilioushuhudia niliapa kabisaa sintakuja kuoa ila leo nimetengua kauli yangu, jamani mapenzi matamu asikwambie mtu, duh! Nimempata binti, mtoto mdogo...
9 Reactions
96 Replies
822 Views
Wadau nimeshafanya uhamisho huu online,status inasoma ALLOWED,kwa waliowahi kufanya uhamisho huu nini kinafuatia baada ya hapo natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kumekuwa na maoni kadhaa kuhusu ni bati kutoka kampuni ipi hasa ya kutumia wakati wa kupaua ukizingatia tofauti ya bei kutoka kampuni hizo, uku kukiwa na maneno kuwa kuna baadhi ya kampuni zinauza...
1 Reactions
10 Replies
116 Views
13 APRIL 2024 1 MIN READ South Afrika yaongoza duniani kwa kuwa na wanawake wenye viuno pana na umbo la kuvutia Afrika Kusini ilishika nafasi ya kwanza, ikiwa na wastani wa nyonga ya inchi 41.73...
5 Reactions
51 Replies
965 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Pension za wastaafu za kila mwezi kutoka hazina mpaka leo tarehe 4 May hazijalipwa. Je,zimepelekwa sikukuu ya wafanyakazi Mei Mosi? Hakuna asiyejua adha ya wastaafu,hasa wale wanayopata pension...
4 Reactions
14 Replies
340 Views
NATAFUTA MKE UWE UNAISHI DAR UWE KABILA LOLOTE KASOLO MUHAYA UWE MKRISTO KAMA SIO KUAJILIWA UWE UME JIAJILI UMRI 25_32
0 Reactions
2 Replies
3 Views
SADIO MANE MTOTO WA SHEIKH, FUKARA ALIYEAGWA KWA MAJI YA MTO CASAMANCE . Takribani 383 kilometa kutoka Dakar mji Mkuu wa Senegal mpaka Sedhiou kijiji cha Bambali, kwa UBER ni masaa sita na dakika...
3 Reactions
1 Replies
20 Views
Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
33 Reactions
378 Replies
4K Views
Kama unataka kuwa mwanasiasa maarufu Tanzania basi wewe onesha unapambana na CHADEMA. Kuna wakati Mzee Wasira aliomba kura ndani ya CCM kwa hoja kwamba yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na...
4 Reactions
17 Replies
219 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,088
Posts
49,564,190
Members
667,771
Latest member
Lili Levy
Back
Top Bottom