Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwamaelezo ya Tundu Antipasi Lisu aliyoyatoa kwenye mikutano yake ya hivi kalibuni niwazi kua Tanganyika iliuhitaji zaidi muungano kuliko zanzibar, ndiomana tukawa tayali kuingia hata hasara ili...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Kuna siri kubwa katika kujali usafi na utunzaji wa mazingira yanayotuzunguka ardhi inanguvu kubwa sana tangu kuumbwa kwa adam na Eva waliwekwa kwenye bustani ya Eden bustan safi yenye kupendeza na...
0 Reactions
1 Replies
45 Views
Kwa Taarifa nilizonazo ni kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anapanga kufafanua na kupangua Upotoshaji wa Mzee Kinana, huu alioutoa leo kwa Waandishi wa Habari. Hatuna haja ya...
2 Reactions
9 Replies
229 Views
Ninauza pikipiki aina ya Honda Ace 125 Individual.Bei ni milioni mbili laki moja. Imekimbia kilometa 601,bado mpya, ni pikipiki nzuri kwa matumizi ya usafiri binafsi zaidi. Ipo Kigamboni na kadi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Huwa unamfuta mwenzako au mkishamaliza kila mtu atajijua. Hujui kumfuta mwenzako ni kitu kizuri, unaishika unaingeuza huku na huku ukimfuta akiwa ametandaza miguu yake au amenyoosha miguu yake...
20 Reactions
160 Replies
3K Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
51 Reactions
259 Replies
7K Views
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani. Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu...
6 Reactions
117 Replies
3K Views
Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba...
4 Reactions
44 Replies
748 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,478
Posts
49,576,197
Members
667,972
Latest member
Gift Estomy Petro
Back
Top Bottom