Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
24 Reactions
96 Replies
2K Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
69 Reactions
404 Replies
13K Views
Kwanza Kabisa Pascal Mayalla amekiri kwamba yeye ni Mkatoliki aliyetukuka Pili Father Kitima amekiri kufuatilia JF kila siku akipendelea zaidi Jukwaa la Siasa na lile la Elimu Father Kitima...
9 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na...
6 Reactions
92 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35. Kwenye harakati za utafutaji nilijarbu vitu kadhaa wa kadhaa ili kufikia ndoto. Nilkua mcheza Dance nikaacha nikawa mchoraji nikaacha, nikawa mcheza soka...
0 Reactions
4 Replies
39 Views
Naunga mkono hoja ya Mbunge wa Chadema aliyo itoa leo Mei 6 wakati akouliza swali Bungeni. kuwa Watuhumiwa wa makosa ya Ubakaji wasipewe dhamana. kwalweli watuhumiw wa ubakaji hawana tofauti na...
1 Reactions
13 Replies
87 Views
Nimeandika toleo hile lengo tutanuane kimawazo 1.UTT AMIS ni mfuko wa uwekezaji ambao unapata gawio la kila mwezi makadirio 400,000/= mfuko wa bondfund -hakuna chochote cha kusimamia wala...
1 Reactions
10 Replies
810 Views
Nakumbuka kipindi Cha nyuma kulikuwa na hii bidhaa ya ivory tomato. Siku hizi haionekani kabisa??, je wakuu wali iondoa sokoni, au Kuna sehemu Hawa isambazi?!. Hii ilikuwa nzuri zaidi ya Ile red...
1 Reactions
10 Replies
69 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema ni Kweli walikataa kuchanganywa na Vyama vingine Vya Upinzani kwenye maridhiano na CCM kwa sababu vyama hivyo ni vibaraka "Wale hawana...
6 Reactions
12 Replies
245 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,603
Posts
49,579,265
Members
668,043
Latest member
Frank_1
Back
Top Bottom