Mzuka wanajamvi!
Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain.
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi
Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015...
Huwa unamfuta mwenzako au mkishamaliza kila mtu atajijua.
Hujui kumfuta mwenzako ni kitu kizuri, unaishika unaingeuza huku na huku ukimfuta akiwa ametandaza miguu yake au amenyoosha miguu yake...
Wachezaji ni kama kausha damu tu, msimu mzima ucheze mechi tatu na uikamue klabu milioni 300 za mshahara, usajiri na bonus, wastani wa milioni 100 kwa kila mechi.
Je, huu ni uungwana?
Kwanini...
Oyaa wazee wanawake wakisasa kuna kitu ibaidi waelewe,kwa sababu wanawake wa kisasa hawawafanyi wanaume kujihisi wanahitajika tena.
Siku hizi, warembo wetu wamepata kipato zaidi ya wanaume...
Hii ilikuwa kitu ya kawaida sana enzi za wazee wetu.
Nini kimebadilika wakuu?
Au binadam wa leo ni wa mbegu tofauti?
Maana huyo mtoto mmoja tu lazima awatoe kamasi na msipokaa sawa utasikia...
Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa...
Juhudu kubwa zimekuwa zikifanywa na mataifa ya magharibi kuhakikisha idadi ya waAfrika weusi inabaki kuwa minority na hivyo oppressed zaidi duniani. Hili limefanyika kwa kusambaza magonjwa ya kuua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.