Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina...
Vita vilipoanza baada ya shambulio la oktoba 7 na kwa kujua ukubwa wa jeshi la Israel haikutarajiwa kufikisha hata wiki moja kabla Israel kukamilisha malengo yake ambayo na kuwafuta Hamas na...
Uzee dawa, Uzee hekima. Maneno ya Rais Museven kwenye mkutani wa viongozi wakuu barani Afrika kuhusu maendeleo.
Msikilize mwenyewe kwenye hiyo video hapo chini.
Bigup sana Museven.
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka.
Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel...
Mzuka wanajamvi!
Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain.
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
Yasadikika ziwa Victoria limeongezeka maji, Kutokana na hizi Mvua za mfululizo, kudhiirisha ayo maeneo ya pembezoni mwa ziwa maharufu kwa jina la miyalo yote yamemezwa na maji na maeneo mengine...
Njoo agiza chochote unachokitaka kutaka Japan au South Africa Tuna agaiza bidhaa mbalimbali kwamuda mrefu kwauaminifu sana.Kupita kwenye platforms zetu mtu yoyote aliko Japan au South Africa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.