Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Faida ya hizi Radiocalls : 1.Hakuna haja kuwekeza kwenye Towers /Minara, Antennas,Base stations, Repeaters. Hivyo Initial investments ni Zero. 2.Hakuna limitation ya umbali /Coverage sababu...
0 Reactions
2 Replies
20 Views
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
5 Reactions
100 Replies
1K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
64 Reactions
341 Replies
10K Views
Habari za usiku huu wana JF, naomba msaada wa haraka, mimi na mke wangu tupo mbali kidogo, leo ameniambia hajapata choo kwa siku saba, nimechanganyikiwa hapa sijui nifanyeje na tumbo linamuuma hatari
7 Reactions
96 Replies
1K Views
Wadau nimekua na idea ya biashara ila naombeni, niwashirikishe mlitafakari kwangu naona linaweza kulipa sana!!. Wazo lenyewe bila kupoteza mda ni: HUDUMA YA WI-FI YA UNLIMITED KULIPIA KWA MWEZI...
2 Reactions
29 Replies
640 Views
Baadhi ya wanawake ambao tangu utotoni wameishi bila kumuona baba mzazi au hawakuwa na maelewano mazuri na baba zao mzazi huonyesha tabia zifuatazo ukubwani; 1. Kung'ang'ania mahusiano yenye...
7 Reactions
51 Replies
916 Views
Yasadikika ziwa Victoria limeongezeka maji, Kutokana na hizi Mvua za mfululizo, kudhiirisha ayo maeneo ya pembezoni mwa ziwa maharufu kwa jina la miyalo yote yamemezwa na maji na maeneo mengine...
2 Reactions
13 Replies
550 Views
  • Suggestion
Source: Kitini cha sheria UTANGULIZI Hapo nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu utu wa Watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na...
12 Reactions
19 Replies
168 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,523
Posts
49,577,673
Members
668,028
Latest member
otienolucas
Back
Top Bottom