Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
4 Reactions
46 Replies
649 Views
Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia Director Khalfani alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa...
11 Reactions
81 Replies
3K Views
Hii ilikuwa kitu ya kawaida sana enzi za wazee wetu. Nini kimebadilika wakuu? Au binadam wa leo ni wa mbegu tofauti? Maana huyo mtoto mmoja tu lazima awatoe kamasi na msipokaa sawa utasikia...
2 Reactions
9 Replies
100 Views
Wapo wale ambao ndio wanaanza, wengine wapo katikati ya tendo, wengine wapo kileleni full kutetema, achana na wewe ambae umemaliza sasa unapumzika kwaajili ya round nyingine. Sasa nasema , nyie...
10 Reactions
27 Replies
327 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Hello morning 🌞! Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira. Lakini utafiti wangu wa...
10 Reactions
76 Replies
1K Views
C & P. BWANA INNO ALIVYOKATAA BILIONI 5 ZA HAYATIKwenye miaka ya 2018, alitokea mfanyabiashara mmoja alimfuata BWANA INNO ofisini pale Wizara ya Biashara, na alifika pale akaanza kumshawishi ili...
4 Reactions
33 Replies
459 Views
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza. Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira. Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
24 Reactions
348 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,508
Posts
49,577,252
Members
668,009
Latest member
Kasawala Mussa
Back
Top Bottom