Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wamefunguliwa kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki Kesi hiyo imefunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam. Bado haijajulikana kama watapata dhamana au watapelekwa Segerea
0 Reactions
14 Replies
15 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
86 Reactions
649 Replies
17K Views
Aje Mazee Hapa kijijini niishipo hapa hakuna kijana wa lika langu anaemiliki gari Sasa ndugu bwana Fene nipo mbioni kumiliki gari Nitakuja hapa WanaJf munipe muongozo Nipo njiani kumiliki...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Tar 2 May Mh Lissu akihutubia Mkoani Iringa alitoa shutuma za Rushwa kwa Mafumbo, Lakini alikua akimlenga Mh Joseph Mbilinyi, lengo lake kwenda Iringa ni Kumshika Mkono Rafiki yake Peter Msigwa...
1 Reactions
5 Replies
57 Views
Kumekuwa na manung'uniko mengi linapokuja suala la muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar huku kila upande ukionesha kutoridhishwa na muungano huu. Suala la muungano tangu kuanza kwa kwake mpaka...
7 Reactions
24 Replies
441 Views
LISSU ni mwanasiasa muongo, mfitini na mbaguzi kuwahi kutokea katika Taifa hili, Watanzania lazima muelewe vizuri hulka ya huyu ndugu yetu ambae wengi tunaamini baada ya ile ajali kwa sasa...
5 Reactions
50 Replies
619 Views
Mteja ni mfalme ila kuna wakati naye huzingua na kujikuta kajivua au kuvuliwa ufalme wake na kuonekana kenge tu. Sababu zinaweza kuwa hizi. 1. Mteja anayeona duka linafanya SALE ila bila aibu...
0 Reactions
1 Replies
41 Views
Vita vilipoanza baada ya shambulio la oktoba 7 na kwa kujua ukubwa wa jeshi la Israel haikutarajiwa kufikisha hata wiki moja kabla Israel kukamilisha malengo yake ambayo na kuwafuta Hamas na...
4 Reactions
8 Replies
198 Views
Namtafuta shamba la kununua morogoro
1 Reactions
5 Replies
115 Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500, Wali ule unaouzwa 2000 maeneo mengine hapa...
13 Reactions
60 Replies
533 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,582
Posts
49,578,907
Members
668,043
Latest member
Frank_1
Back
Top Bottom