Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii ilikuwa kitu ya kawaida sana enzi za wazee wetu. Nini kimebadilika wakuu? Au binadam wa leo ni wa mbegu tofauti? Maana huyo mtoto mmoja tu lazima awatoe kamasi na msipokaa sawa utasikia...
2 Reactions
11 Replies
100 Views
Nije kwenye Mada yangu moja kwa moja. Naiomba TFF utoe ufafanuzi wa Sheria juu ya mchezaji ambaye hajakamilisha vigezo vya usajili wake je anaruhusiwa kucheza? Na kama haruhusiwi mpaka akamilishe...
1 Reactions
13 Replies
163 Views
Itoshe kusema kwamba, Waswedish wanatengeneza vyombo vyenye uhakika katika mabasi na Malori kuna SCANIA NA VOLVO hawana mpinzani. kwenye SUV tunajua Japs na Germans wanachuana vikali lakini...
22 Reactions
123 Replies
9K Views
Vita vilipoanza baada ya shambulio la oktoba 7 na kwa kujua ukubwa wa jeshi la Israel haikutarajiwa kufikisha hata wiki moja kabla Israel kukamilisha malengo yake ambayo na kuwafuta Hamas na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015...
2 Reactions
15 Replies
173 Views
1. Yale ya Makonda na ile TV pendwa ya pande za kwetu yametimba Al Jazeera Israel: 2. Kwamba pasipo na kusubiria kitu Al Jazeera wafunge virago? 3. Kwamba wale wachumba kumbe wamekuwa nao...
0 Reactions
25 Replies
648 Views
Ukisikia neno uchumi je kichwani kwako unaelewa kitu gani? Wapo ambao watasema kuwa ni masuala ya fedha tu, wapo wataozungumza kuhusu uwepo wa shughuli ambazo zinahusisha mzunguko wa fedha katika...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
4 Reactions
49 Replies
649 Views
Kwa muda mrefu nimejaribu kufuatilia hili swala la kugombea Urais wa Tanzania kupitia vyama vya upinzani bado sijapata jibu la moja kwa moja. Unaona kabisa kuna wanasiasa wako serious kabisa kuwa...
2 Reactions
9 Replies
199 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,509
Posts
49,577,306
Members
668,016
Latest member
Diyor
Back
Top Bottom