Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

"Kitendo cha kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai, mtu yeyote ambaye atapatikana na hatia ya kosa hilo ataadhibiwa kifungo cha miaka 30, ikithibitika na mtendewa aliridhia...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari zenu wakuu, natumaini mko poa. Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi? Kama linafanya kazi stakeholder na...
7 Reactions
92 Replies
2K Views
BWANA INNO ALIVYOKATAA BILIONI 5 ZA HAYATIKwenye miaka ya 2018, alitokea mfanyabiashara mmoja alimfuata BWANA INNO ofisini pale Wizara ya Biashara, na alifika pale akaanza kumshawishi ili...
8 Reactions
44 Replies
1K Views
1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma 2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma 3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha 4. Wasomi wengi tunaishi Maisha...
1 Reactions
5 Replies
6 Views
Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo Miongoni mwa kipindi cha Urais chenye machawa na vikundi vya uchawa ni kama hivi sasa ni balaa sana je hili...
1 Reactions
4 Replies
55 Views
Tuskilize Muziki Mzuri. https://youtu.be/SwY1pFzE8gU?si=aNUig-Pu7mkWV5re
1 Reactions
3 Replies
77 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
68 Reactions
379 Replies
11K Views
Kumekuwa na manung'uniko mengi linapokuja suala la muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar huku kila upande ukionesha kutoridhishwa na muungano huu. Suala la muungano tangu kuanza kwa kwake mpaka...
5 Reactions
15 Replies
411 Views
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU). BY ISSAI SINGANO . (Singano jr). DIBAJI Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
2 Reactions
161 Replies
37K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,561
Posts
49,578,310
Members
668,030
Latest member
Jofrey Julius M
Back
Top Bottom