Habari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa.
Natumaini mko swafi na mnaendelea kuupiga mwingi. Bila kupoteza muda niende kwenye mada
Kuna kautafiti binafsi nimekafanya ili kuona tofauti kati ya...
Match Day.
NBC Premier League.
Simba vs Mtibwa
Azam Complex
04.00 PM
Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Simba itawakaribisha wageni wao timu ya Mtibwa katika mechi ya NBC premier league ikiwa...
Kama wewe ni mnywaji wa pombe zinazotengenezwa kwa ngano au pombe kali inakuhusu hii.
Wataalamu wa afya wameeleza uwepo wa athari hasi, kwa wale wenye tabia za kunywa pombe kabla ya kula chakula...
Tokugawa Shogunate...
Kuna haka ka-Miniseries kametoka kwenye Chanel ya FX, watu mitandaoni wamekua wakiifananisha au kusema kwamba imezidi ubora GOT.
Binafsi nimeitazama hii series nakubali...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Wakuu, kwema.
Kwa wale ambao wamewahi kununua gari, kwa kuagiza, kwa mtu au showroom, hivi rangi ya gari uwa unaiweka katika options zako za muhimu au?
Kwa upande wangu, rangi ya gari nilikua...
Hapa tanzania kuna kasoro inaweza kuwa ni vinasaba yetu tuliyopewa na mungu ukilinganisha na mataifa mengine na tabia zao.
Kwa nini watu wenye maono,wazo,maarifa,uthubutu na mafanikio yakijitokeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.