Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tokugawa Shogunate... Kuna haka ka-Miniseries kametoka kwenye Chanel ya FX, watu mitandaoni wamekua wakiifananisha au kusema kwamba imezidi ubora GOT. Binafsi nimeitazama hii series nakubali...
2 Reactions
85 Replies
2K Views
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
8 Reactions
311 Replies
7K Views
Ndo mkome kuiba kura na kuchanga hela za fomu ya Urais. NB: WALIMU NI MIONGONI MWA WATU WANAOPASWA KULAUMIWA KWA MATATIZO YALIYO MENGI KATIKA NCHII KWA KUSAMBAZA NA KUENEZA UJINGA KUPITIA ELIMU...
7 Reactions
22 Replies
434 Views
Kuna makundi mawili yenye nguvu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo yanayodaiwa kupishana mitazamo ya namna ya kuendesha siasa kuelekea chaguzi za SM na ule mkuu wa 2025. Kundi la kwanza...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa. Natumaini mko swafi na mnaendelea kuupiga mwingi. Bila kupoteza muda niende kwenye mada Kuna kautafiti binafsi nimekafanya ili kuona tofauti kati ya...
1 Reactions
12 Replies
156 Views
Mzuka wanajamvi! Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain. Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
5 Reactions
51 Replies
653 Views
Ajali hiyo inaonesha kutokea katika barabara kuu ambapo dereva akiwa na abiria wake walipata ajali na kupelekea pikipiki kuwaka moto, abiria akiwa pembeni huku wasamaria wema wakijaribu kumnasua...
10 Reactions
121 Replies
3K Views
Hii topic ni distraction. Mimi nilitaka kuandika kuhusu jambo lingine. Lakini 1964,kama TFL ilivunjwa ni kwa sababu iliunga mkono maasi ya Colito Barracks. Lakini ni kweli anavyosema Tundu Lissu...
1 Reactions
25 Replies
646 Views
Kama wewe ni mnywaji wa pombe zinazotengenezwa kwa ngano au pombe kali inakuhusu hii. Wataalamu wa afya wameeleza uwepo wa athari hasi, kwa wale wenye tabia za kunywa pombe kabla ya kula chakula...
2 Reactions
21 Replies
196 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,836
Posts
49,556,516
Members
667,672
Latest member
Rozy2022
Back
Top Bottom