Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu Tanesco ni shida sana, kuna muda leo niliwasha TV mapema mida ya saa nne saa 3 hivi nikaweka upande wa redio wakati nikiwa najiandaa kutoka kwenda mihangaikoni ghafla umeme ukakatika kama...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
44 Reactions
288 Replies
5K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
29 Reactions
145 Replies
1K Views
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee. Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu...
9 Reactions
80 Replies
1K Views
Tuwekane sawa #Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu. #Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
23 Reactions
162 Replies
5K Views
Challenge kwenu wadau
0 Reactions
11 Replies
119 Views
Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake...
9 Reactions
38 Replies
682 Views
Salama kitu gani? Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,859
Posts
49,557,507
Members
667,686
Latest member
Shagihelo
Back
Top Bottom