Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
23 Reactions
129 Replies
899 Views
Challenge kwenu wadau
0 Reactions
6 Replies
7 Views
Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar. Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa...
0 Reactions
5 Replies
77 Views
Nchi yetu miaka michache ijayo tutaanza kupambana na Wachina. Inakuaje mchina anakuja nchini kufungua supermarket. Wachina wametapakaa kila kona ya hii nchi wanachukua fursa za Watanzania. Juzi...
12 Reactions
60 Replies
1K Views
Huyu mtangazaji Sauda Mwilima Kama sijakosea jina Yuko wapi siku hizi?.Alikuwa anakipindi star tv,akiwahoji wasanii mbalimbali wa mziki.
2 Reactions
20 Replies
360 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Habari wana Bodi. Nimekuwa nikiwaza mara kadhaa kuu ya hizi takwimu za mtandao wangu pendwa mzee nisie na makuu. Hivi ni sahihi kweli kwamba tuko watu laki sita na ushee tuu? Post zilizotumwa...
3 Reactions
43 Replies
482 Views
Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana. Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa...
106 Reactions
2K Replies
39K Views
Khabarini wana jukwaa, Nimekuwa na mahusiano na mke wa mtu takribani miaka minne sasa na hatimaye mwaka huu niliamua kuachana nae kama nilivyoelezea katika uzi wangu wa Msaada: Mke wa mtu anataka...
4 Reactions
27 Replies
508 Views
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua? Kufuatilia hali...
4 Reactions
66 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,850
Posts
49,557,207
Members
667,679
Latest member
Mkatiko_Jembe
Back
Top Bottom