Kumekuwa na wimbi kubwa la watu ambao hawaishi kuwasemea vibaya wahitimu wa elimu ya ngazi za juu hapa nchini. Ni kweli tatizo la ajira linazidi kuwa kubwa lakini sio sababu ya kulaumu na kuwasema...
Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia
Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi
Nikaona ni vema...
Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake...
Wakuu Tanesco ni Shida sana kuna muda leo niliwasha tv mapema saa mida ya saa nne saa 3 ivi kiwaweka upande wa redio wakati nikiwa najiandaa kutoka kwenda miangaikoni gafla umeme ukakatika kama...
Kuna makundi mawili yenye nguvu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo yanayodaiwa kupishana mitazamo ya namna ya kuendesha siasa kuelekea chaguzi za SM na ule mkuu wa 2025.
Kundi la kwanza...
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee.
Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia...
Habarini
Case in point ni huyu blord wa Nigeria, huenda wengi humu hamumfahamu, huyu kijana ana miaka 26 tu ni ceo wa kampuni yake ya jetpay kule Nigeria, lifestyle analoishi si mchezo, yani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.