Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na...
3 Reactions
32 Replies
458 Views
Habari ndugu zanguni, Naomba tushauriane na tutoe ya moyoni kuhusu shule zinazowaingiza watoto kufanya usafi kwenye maghala ya kuhifadhi mahindi hizi ishu naona isipoziwa sauti itakuwa sugu kwa...
1 Reactions
35 Replies
525 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
9 Reactions
52 Replies
71 Views
Huyu mtangazaji Sauda Mwilima Kama sijakosea jina Yuko wapi siku hizi?.Alikuwa anakipindi star tv,akiwahoji wasanii mbalimbali wa mziki.
2 Reactions
17 Replies
291 Views
Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na...
5 Reactions
20 Replies
540 Views
Mzuka wanajamvi! Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain. Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
5 Reactions
69 Replies
821 Views
Zamani ilikuwa inajulikana kuna vijana wa hovyo walikuwa wakijiita wadudu wa dampo jijini Arusha ambao hasahasa walikuwa wakijihusisha na muziki wa Hiphop. Na hata wengi wao walikuwa wakivuka...
4 Reactions
26 Replies
429 Views
Bank ya makabwela ambayo wastaafu hasa wale wa zamani serikalini walilazimika pension zao kulipiwa katika bank hiyo inawaumiza sana watumishi hao wastaafu kwa kuwanyonya kupitia mikopo yao ambayo...
1 Reactions
17 Replies
833 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,843
Posts
49,556,775
Members
667,673
Latest member
Rozy2022
Back
Top Bottom