Bila kupepesa maneno nyie wana jf mkiona hadi kijana anaendesha bodaboda ujue hana option ya kujikwamua kimaisha sio kila mtu anatoka familia zenye uwezo sometimes bodaboda ndio only option mtu...
Match Day.
NBC Premier League.
Simba vs Mtibwa
Azam Complex
04.00 PM
Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Simba itawakaribisha wageni wao timu ya Mtibwa katika mechi ya NBC premier league ikiwa...
Tanzania ni nchi ambayo iko uchumi wa kati kutokana na ukuaji sekta mbalimbali za kiuchumi lakini bado ina safari ndefu ya kufikia malengo ya kuwa nchi yenye uchumi imara kama baadhi ya nchi ulaya...
Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya makampuni kuanzisha makampuni mengine ndani ya Kampuni ,
MTu anaajiriwa kwa mwamvuli wa kampuni husika lkn anapopewa mkataba unasoma jina la kampuni nyingine hii...
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu, Yupo vizuri kimaisha, kama mwanaume nilijikuta nikimtamani maana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume...
Hili ni swali lenye lengo la kuhitimisha Mjadala wa kero za Muungano .
Tunataka kujua kama Micheweni, Kikwajuni, Chakechake au labda Kizimkazi kama ameonekana DC yeyote mwenye vinasaba vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.