1. Uliokuwa moto wa nyika Marekani; wanafunzi na wananchi wamechoshwa na siasa za nchi yao kuelekea Gaza, Palestine na Israel sasa kimewaka Canada!
2. Kwamba kinachoendelea ni udhwalimu? Kwani...
Habari
Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi.
Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
Wana JF, wasalaam.
Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu...
Ndugu zangu Watanzania,
Huwa nashangaa sana ni vipi Lissu ni kiongozi ndani ya CHADEMA, ni vipi watu wenye akili timamu na wanaojitambua wanaweza kumpatia Lissu uongozi wa juu wa chama, nafasi...
RAIS SAMIA AWEKWE KWENYE FEDHA, TUACHE WIVU NA CHUKI.
Na; Suphian Juma Nkuwi
Nilishalisema sana hili humu mtandaoni tangu Mhe. Rais Dkt Samia akiwa na miaka miwili ya Utumishi wake Ikulu. Na...
Kwa kifupi Nini kimeongezeka Mei Mosi Mwaka huu? Tumeamka na Bei Mpya ya Mafuta, imepanda tena.Changamoto ni zilezile ambazo MAJIBU yake ni kitendawili ambacho mteguaji ameshindwa naye mtegaji...
Habari wana Bodi.
Nimekuwa nikiwaza mara kadhaa kuu ya hizi takwimu za mtandao wangu pendwa mzee nisie na makuu.
Hivi ni sahihi kweli kwamba tuko watu laki sita na ushee tuu?
Post zilizotumwa...
Bank ya makabwela ambayo wastaafu hasa wale wa zamani serikalini walilazimika pension zao kulipiwa katika bank hiyo inawaumiza sana watumishi hao wastaafu kwa kuwanyonya kupitia mikopo yao ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.