Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake...
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee.
Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia...
Mm Kaz yangu Ni mwalimu ila hapa katka nimeamishwa shul nyingine mtaani x
Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze
Mke anavutia sna napatwa na wasi...
In general, food takes 24 to 72 hours to move through your digestive tract. The exact time depends on the amount and types of foods you’ve eaten.
The rate is also based on factors like your...
Wakubwa habarini za muda huu
Kama ambavyo kichwa cha habari kinajieleza naomba mwenye kujua shule yoyote ya boarding yenye ada isiyozidi 1.5 million anisaidie japo kwa majina yake ama mawasiliano...
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Pambalu anagugumia kwa maumivu baada ya kunyang'wa gari la idara yake bila maelezo zaidi ya kuambiwa ni amri kutoka kwa mwenyekiti. Hii inatokea wakati ametanganza nia...
Arusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA.
Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo...
Wakuu nawaheshimu sana kwa kuwa kanuni mojawapo ya ubinadamu sahihi ni kuheshimu usiemjua mpaka utakapomjuwa:
Mimi ni miongoni mwao wafuatliaji wa muziki wa aina tofauti duniani, kama POP na SOUL...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.