Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kesi ya madai ya sh,milioni 123 inayoikabili kampuni ya Mabasi ya Kilimanjaro Track co.ltd dhidi ya Msanii wa kizaźi kipya,Nuni Suleiman(35) Mkazi wa Dar es salaam, imeunguruma katika mahakama ya...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Yanga SC ( Mashabiki ) wanasema kuwa Kocha Juma Mgunda hata Wiki Simba SC tayari Nazi zimepanda Bei nchini.
2 Reactions
16 Replies
97 Views
Pafukapo moshi ujue kuna moto , za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti. Kikao...
2 Reactions
16 Replies
249 Views
Tuwekane sawa #Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu. #Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
17 Reactions
134 Replies
4K Views
Wakati umefika Sasa wa Serikali Kufanya maamuzi magumu Kwa kushirikiana na DRC na kuanza Ujenzi wa Daraja litakalokatisha Kwenye Ziwa Tanganyika. Daraja Hilo kinaweza kujengwa kati ya Bandari ya...
14 Reactions
156 Replies
3K Views
Nilipokuwa "mdogo", niliaminishwa kuwa wasomi si wanasiasa na hata wakiwa kwenye siasa husimamia misimamo yao ya kisomi. Lakini baada ya kuanza kufuatilia mambo ya kisiasa, nilibaini kuwa si...
0 Reactions
4 Replies
13 Views
Kwa mfano Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia alishiriki Birthday ya Mbunge Mstaafu wa Chadema Mbeya Mjini Bilionea Sugu kuna ubaya gani Sugu Kuomba hela ya Kampeni kwa mama Au pale Kanisani Machame...
1 Reactions
3 Replies
16 Views
Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi...
3 Reactions
14 Replies
234 Views
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
94 Reactions
488 Replies
12K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,707
Posts
49,553,442
Members
667,583
Latest member
Juma pindi
Back
Top Bottom