Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii topic ni distraction. Mimi nilitaka kuandika kuhusu jambo lingine. Lakini 1964,kama TFL ilivunjwa ni kwa sababu iliunga mkono maasi ya Colito Barracks. Lakini ni kweli anavyosema Tundu Lissu...
0 Reactions
16 Replies
379 Views
Salaam Wakuu mimi ni mwangalizi wa jumba la ndugu yangu, yeye yuko Texas-Huoston. Jumba ni kubwa sana na lipo maeneo ya watu wenye uwezo, ila ndani nipo mwenyewe Kwa nje ya geti kuna sehemu...
3 Reactions
26 Replies
161 Views
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu, Yupo vizuri kimaisha, kama mwanaume nilijikuta nikimtamani maana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume...
24 Reactions
172 Replies
5K Views
Hii barabara ya bigwa kisaki serikali inaonyesha dharau ya wazi kwa watu WA huku imagine magari yanasafiri kilomita 80 moro mvuha kwa siku tatu. Halafu bila aibu ccm watakuja kuomba tena kura.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ajali hiyo inaonesha kutokea katika barabara kuu ambapo dereva akiwa na abiria wake walipata ajali na kupelekea pikipiki kuwaka moto, abiria akiwa pembeni huku wasamaria wema wakijaribu kumnasua...
10 Reactions
114 Replies
3K Views
Heshima kwenu wana jamii.... Hili swali huwa linanitatiza. Je nani ni single mother? Nini maana ya single mother? 1. Ni mwanamke aliyezaa nje ya ndoa na hajaolewa na hapati matunzo ya mwenza? 2...
3 Reactions
24 Replies
230 Views
Katika hali inayoonyesha kwamba vita nchini Ukraine bado vitaendelea kupiganwa na kwamba fikra ya taifa la Russia kwamba inaweza ikakalia tu ardhi ya Ukraine kwa raha inaonekana ni jambo ambalo...
7 Reactions
90 Replies
3K Views
Mzuka wanajamvi! Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain. Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
2 Reactions
16 Replies
175 Views
Jimbo linahitaji Kiongozi mwenye maono. Nawe Ni mtu sahihi
0 Reactions
4 Replies
88 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,799
Posts
49,555,334
Members
667,657
Latest member
Seb Jr
Back
Top Bottom