Habari
Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi.
Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
Safina Inayozama
"Ni majira ya saa 10 jioni kikao kinakaliwa cha kuweka mikakati wa maendeleo kwa miaka 5 hadi 25 ijayo, lakini kinachowashangaza wazee wa Kijiji cha Wafagiliaji Wanashangazwa na...
Habari ndugu zanguni,
Naomba tushauriane na tutoe ya moyoni kuhusu shule zinazowaingiza watoto kufanya usafi kwenye maghala ya kuhifadhi mahindi hizi ishu naona isipoziwa sauti itakuwa sugu kwa...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Wana JF, wasalaam.
Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu...
Inakuaje vyuo vyote Tanzania kasoro vyuo vi chache ma lecturers ku-lecture kwa kutumia lugha ya kiswahili through out the lecture period, ila akitunga mitihani ni kiingereza kigumu cha misamiati...
Habari
Pasipo kupoteza muda,
Hii elimu huwezi kuambiwa popote darasani, lakini kutokana na kazi zangu za kiufundi mimi Fundi SAMICO nimejifunza mambo mengi mno kuhusu hii dunia. Wakati dunia...
Mwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.