Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Heshima kwenu wana jamii.... Hili swali huwa linanitatiza. Je nani ni single mother? Nini maana ya single mother? 1. Ni mwanamke aliyezaa nje ya ndoa na hajaolewa na hapati matunzo ya mwenza? 2...
3 Reactions
23 Replies
230 Views
Kama umenunua Gari lako South Africa, unatafuta Dereva mzoefu wakulileta popote ulipo kwanjia ya barabara niko hapo. Nchi tunazosafurisha Magari. 1. Kenya 2. Uganda 3. Rwanda 4. Burundi 5...
23 Reactions
186 Replies
11K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa sasa moto unawaka, CHADEMA inateketea, CHADEMA inawaka moto,inasambaratika,imepasuka vipande vipande, kila mtu ameshika nyundo kung'oa anachooona kinamfaa, kila mmoja...
1 Reactions
12 Replies
48 Views
Match Day. NBC Premier League. Simba vs Mtibwa Azam Complex 04.00 PM Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Simba itawakaribisha wageni wao timu ya Mtibwa katika mechi ya NBC premier league ikiwa...
4 Reactions
55 Replies
510 Views
Haiingii Akilini Mlinzi unaagana nae Usiku Saa 4 unamuacha kakaa Lindoni huku Taa inammulika, ukiamka Usiku Kimachale ili nawe pia kufanya Lindo lako la Kisirisiri kwani Siku hizi hakuna...
3 Reactions
20 Replies
475 Views
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu, Yupo vizuri kimaisha, kama mwanaume nilijikuta nikimtamani maana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume...
24 Reactions
169 Replies
5K Views
Nina wasanua makada wenzangu was chama chetu CCM,hebu tujaribu kulijibu Hilo swali kimantiki!! Hoja za lisu tumeshindwa kujibu na Hilo swali tunaweza kulijibu!!? Ifikie hatua tuache kujibu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
75 Reactions
4K Replies
254K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,799
Posts
49,555,334
Members
667,657
Latest member
Seb Jr
Back
Top Bottom