Habari wakuu,
Hii mitandao imekuwa ikiwapa watu umaarufu na kisha kuwapoteza, Mara nyingi mtu anaeibuka kuwa Maarufu mtandaoni huwa hategemei kuwa kituko chake kitampa umaarufu bali hutokea tu...
Habari
Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi.
Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
Ndugu zangu Watanzania,
Huwa nashangaa sana ni vipi Lissu ni kiongozi ndani ya CHADEMA, ni vipi watu wenye akili timamu na wanaojitambua wanaweza kumpatia Lissu uongozi wa juu wa chama, nafasi...
1. Ulikuwa moto wa nyika Marekani; wanafunzi na wananchi kuchoshwa na siasa za nchi yao kuelekea Gaza, Palestine na Israel; sasa unawaka Canada!
2. Kwamba kinachoendelea ni udhwalimu? Kwani...
Ujumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC Chunya, DeD chunya,.
Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo, vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo.
Kijiji...
Hallo wana JF.
Nimekuja na hoja binafsi, Kwanini sasa hivi kumeibuka wimbi la wanaojiita wachungaji, pale wanapofanya maombi either kwa njia ya hadhara au kwenye TV au Radio na mitandao ya Jamii...
Hii Dar es Salaam sijajua ni kwa nini watu wanaipaparukia kiasi hichi, huu mkoa una paishwa tu lakini hamna kitu kabisa. Mkoa umejaa shida kila mahala.
Nitaongelea sekta ya usafiri, japo ki...
Kama nilivyo waambia wakuu nimesoma degree ya Accounting and Finance jana nimeandaa barua 9 kwa ajili ya kusambaza kwenye taasisi mbali mbali hapa Arusha ili kuomba internship ila zilizo pokelewa...
Mimi ni shabiki wa Simba na ninawapenda wachezaji wanaojituma na kuipambania klabu.
Hata hivyo ninasikitishwa na upuuzi ninaouona mitandaoni eti sisi wana Simba tunaombwa tusimng'ang'anie Kibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.