Mzuka wanajamvi!
Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain.
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
Lissu anaweza kuwa na mapungufu yake kwa sababu ni binadamu. Lakini kwa jinsi alivyoipigania Tanganyika tokea akiwa bungeni hata sasa akiwa nje ya Bunge, Historia haitamsahau.
Watanganyika wa leo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa moto unawaka, CHADEMA inateketea, CHADEMA inawaka moto,inasambaratika,imepasuka vipande vipande, kila mtu ameshika nyundo kung'oa anachooona kinamfaa, kila mmoja...
Mm Kaz yangu Ni mwalimu ila hapa katka nimeamishwa shul nyingine mtaani x
Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze
Mke anavutia sna napatwa na wasi...
Raia 12 wa Malawi ni miongoni mwa raia 40 wa Kigeni waliokamatwa baada ya kuacha kazi kwenye mashamba ya Arava na Lion kutokana na kulipwa Ujira mdogo na kwenda kutafuta kazi za zenye malipo bora...
Wakuu nawaheshimu sana kwa kuwa kanuni mojawapo ya ubinadamu sahihi ni kuheshimu usiemjua mpaka utakapomjuwa:
Mimi ni miongoni mwao wafuatliaji wa muziki wa aina tofauti duniani, kama POP na SOUL...
Ukahaba mwingine umeibukia kwenye masaluni ya wanawake wanakaa hapo wanajuwa ni rahisi kuonekana. Mambo haya yanachangiwa na maadili mabovu yani hata inapelekea watoto kutopata malezi bora watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.