Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Haiingii Akilini Mlinzi unaagana nae Usiku Saa 4 unamuacha kakaa Lindoni huku Taa inammulika, ukiamka Usiku Kimachale ili nawe pia kufanya Lindo lako la Kisirisiri kwani Siku hizi hakuna...
5 Reactions
30 Replies
894 Views
Japo hazina uthibitisho wa kuaminika, lakini kutokana na hali ilivyo, unaweza ukashawishika kuziamini. Maelezo ya mtu anayedai kuwa alikuwa Mwenyekiti wa wachawi wa Tanzania kabla ya kuachana nao...
0 Reactions
7 Replies
98 Views
Zamani ilikuwa inajulikana kuna vijana wa hovyo walikuwa wakijiita wadudu wa dampo jijini Arusha ambao hasahasa walikuwa wakijihusisha na muziki wa Hiphop. Na hata wengi wao walikuwa wakivuka...
2 Reactions
16 Replies
267 Views
Huyu mtu anaona akiongea kwa jazba, akitukana Rais au akisema hovyo ndio ataonekana wa maaana. Sasa hv ongea yake ya hovyo lengo ni kuwaaminisha wenzake kuwa ana uwezo wa kuwa mwenyekiti wa chama...
0 Reactions
4 Replies
72 Views
Nilizoea kuwaona wachina Dar es Salaam tu lakini nimeshangaa kuwakuta wachina hadi huko Kigoma vijijini, mwanzo nilidhani labda ni wakandarasi kwenye miradi ya barabara, lakini hapana, unawakuta...
1 Reactions
6 Replies
126 Views
Mzuka wanajamvi! Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain. Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
4 Reactions
45 Replies
554 Views
Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto? Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa? Unadanganywa kwamba...
54 Reactions
179 Replies
6K Views
Waheshimiwa habari zenu, Naomba kuuliza na kufahamu, viatu vya culture kwa hapa DSM wanatengeneza wapi au wanapouzia kwa jumla? Msaaada wakuu nina tanguliza shukrani Naweka picha ili upate...
1 Reactions
4 Replies
162 Views
Hello wataalamu ,ngozi ya mtoto ya vidole vya mikono vimekakama na kumenyeka ngozi nimpake dawa gani wataalamu
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa
2 Reactions
32 Replies
742 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,828
Posts
49,556,315
Members
667,672
Latest member
Rozy2022
Back
Top Bottom