"Barnaba usijisahau kama umemuoa mtoto wa nani, unajua kabisa wewe ni mume wa mtu unaenda kupiga picha kama zile, umeweka mkono kwenye chup! ya mwanamke mwingine wakati unajua hiyo ni nguo ya...
Wakubwa habarini za muda huu
Kama ambavyo kichwa cha habari kinajieleza naomba mwenye kujua shule yoyote ya boarding yenye ada isiyozidi 1.5 million anisaidie japo kwa majina yake ama mawasiliano...
Habari wanajamvi..
Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu.
Kwa...
Kama Yanga inahitaji kufika anga za nusu au fainali basi iachane na hawa wachezaji ambao hawana special thing to offer.
Afrika kuna players wazuri sana na wenye uwezo aina ya kina Aziz Ki, Yanga...
Mzuka wanajamvi!
Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain.
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa...
Kuna binti mmoja nilikutana naye way back nilimtongozaga akazingua kipindi hicho yuko chuo sasa hivi amemaliza chuo yeye yupo mtaani mimi nipo kazini maisha yamemtandika kila siku mara naomba...
Nimechangia Bungeni namna mahitaji na matumizi ya Umeme yalivyoongezeka nchini, wakati TANESCO inaanzishwa idadi ya watu ilikuwa ndogo, usambazaji wa umeme ulikuwa kwa kiwango kidogo...
Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake...
Hii topic ni distraction. Mimi nilitaka kuandika kuhusu jambo lingine.
Lakini 1964,kama TFL ilivunjwa ni kwa sababu iliunga mkono maasi ya Colito Barracks.
Lakini ni kweli anavyosema Tundu Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.