Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu. Naomba kumpata msambazaji wa wine toka Dodoma
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mafundi waliopelekwa nyumbani kufanya ukarabati au ujenzi wa nyumba wametumia mwanya huo kuchora ramani na kukariri vitu mbalimbali kwenye nyumba hiyo, pale waliposafiri na kumuacha housegirl...
6 Reactions
30 Replies
362 Views
Hahahaaaa taja faida kwa ñini unaishi single!
1 Reactions
28 Replies
150 Views
Kama nilivyo waambia wakuu nimesoma degree ya Accounting and Finance jana nimeandaa barua 9 kwa ajili ya kusambaza kwenye taasisi mbali mbali hapa Arusha ili kuomba internship ila zilizo pokelewa...
9 Reactions
89 Replies
2K Views
Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :- -NHIF -ASSEMBLE -STRATEGIES -JUBILEE -Cigna -BRITAM -BUPA -UAP -HEALIX -WCF...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari wakuu, natumaini mapambano ya maisha yanaendelea… Mimi sio mwandishi mzuri ila nitajihidi nieleweke, bila kupoteza wakati, leo ningependa kushare jambo kuhusu pesa za moto’ (real story)...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba...
20 Reactions
147 Replies
2K Views
Naona nyota ya Paul Makonda inang'aa sana jijini Arusha. Inaonekana wakazi wengi sana wa Arusha wamemkubali, Kihistoria Arusha haina kabila, nahisi huyu jamaa anaweza chukua Jimbo.
7 Reactions
27 Replies
654 Views
Wanaukumbi. Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St. Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na...
4 Reactions
116 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,531
Posts
49,549,304
Members
667,530
Latest member
Gerard lupin
Back
Top Bottom