Aje Wanajukwaa
Hivi inawezekana kweli hili jambo kwamba mume/mke akawa mlozi/mwanga/mchawi na mwenza asijue?
Kama jibu ni ndio tunajua mara nyingi shughuli za wanga ni usiku
Itawezekana vip...
Mkazi wa wilaya ya Kilosa, Mohammed Salange amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada kukutwa na hatia ya kumfanyia ukatili mtoto wake wa kufikia wa kiume mwenye umri wa miaka 9. Makosa hayo...
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
Heshima kwenu!
Kila mkoa una neema na changamoto yake. Nilifanikiwa kuwa moja ya mafundi katika ujenzi wa stend mpya Sumbawanga.
Kazi ilikwenda vizuri lakini vijana wangu wa kiume wasaidizi...
Nimemsikiliza Lissu akikemea Rushwa ya uchaguzi wa ndani Chadema akiwa Iringa na kisha akatoa tahadhari ya pesa iliyopenyezwa kutoka nje ya mfumo, je hili limekaaje,hebu tutafakari pamoja...
Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwanini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili...
Tanzania bado tuna changamoto katika suala zima la elimu ikiwa ni pamoja na mazingira mabovu ya kujifunzia, uchache wa vifaa bora vya kufundishia nakujifunzia, uchache wa shule katika baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.