Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mmeachana na Benchika nimefurahi sana, ana cv kubwa lakn uwezo wa kawaida tu, hana mbinu wala ufundi zaidi ya dharau, kebehi na kiburi. Wengi hamjui lkn Benchika ana shida, kiuongozi hayawezi...
4 Reactions
14 Replies
633 Views
Kibu anaidengulia Simba kusaini kandarasi nyingine hapo wanambembeleza sana, Kibu aelewe Simba ni kubwa kuliko yeye.
6 Reactions
38 Replies
1K Views
Habari wana Bodi. Nimekuwa nikiwaza mara kadhaa kuu ya hizi takwimu za mtandao wangu pendwa mzee nisie na makuu. Hivi ni sahihi kweli kwamba tuko watu laki sita na ushee tuu? Post zilizotumwa...
2 Reactions
14 Replies
97 Views
Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :- -NHIF -ASSEMBLE -STRATEGIES -JUBILEE -Cigna -BRITAM -BUPA -UAP -HEALIX -WCF...
1 Reactions
15 Replies
161 Views
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
26 Reactions
270 Replies
10K Views
Kutoka insta live ya ally Kamwe , Leo engineer HERSI ametupa wananchi breaking news ya moto 😅😅 Engineer HERSI amesema kuwa katika msimu huu wa usajili dirisha kubwa , Kuna mchezaji mmoja uyo...
1 Reactions
29 Replies
711 Views
Tuwekane sawa #Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu. #Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
3 Reactions
30 Replies
355 Views
Habari wapendwa, Jina langu naitwa Jerry, najihusisha na biashara ya uuzaji wa magari ambayo yametumika Tanzania, kupitia uzi huu ntakuwa naweka magari mbalimbali ambayo nmekabidhiwa na wahusika...
7 Reactions
2K Replies
213K Views
Nchi yetu miaka michache ijayo tutaanza kupambana na Wachina. Inakuaje mchina anakuja nchini kufungua supermarket. Wachina wametapakaa kila kona ya hii nchi wanachukua fursa za Watanzania. Juzi...
1 Reactions
4 Replies
38 Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
30 Reactions
207 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,548
Posts
49,549,769
Members
667,539
Latest member
manageble
Back
Top Bottom