Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu habari za wakati huu Wanawake tunawapenda sana sema kuna wakati mnachokitafuta mtakipata, sisi wanaume ni binadamu tuu na hatujakamilika kivile. Umekaa umetulia zako ghafla simu...
0 Reactions
7 Replies
80 Views
Nasumbuliwa na maumivu upande wa kushoto yaliyonianza baada ya kuumia uwanjan wakat nacheza mpira.. Wakati nimeruka juu mchezaj wa tim pinzan alinipga maeneo ya kifua upande wa kushoto...
1 Reactions
4 Replies
42 Views
Kuna watu ustaarabu sifuri mtu kakukuta unakula mgahawani akaja kukaa kwenye meza yako ukaona utumie ustaarabu kumwambia na yeye aagize chakula maana sio vizuri kula huko mtu anakutazama usoni ...
2 Reactions
9 Replies
83 Views
Mwishoni mwa mwaka Jana, nilienda nchini Kenya kupitia mpaka wa Sirari. Kwa sababu nilifika "border" Usiku, niliamua kulala gesti ili niendelee na safari Asubuhi yake. Nilimka vizuri, na...
4 Reactions
10 Replies
311 Views
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba...
17 Reactions
138 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini. Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani...
0 Reactions
5 Replies
54 Views
Zamani ilikua wanaume ndo tunajisogeza na kusimama nyuma ya wanawake ili tu kugusa makalio yao na sehemu zetu za siri na kuna wanaume ambao walikua wanamaliza kabisa haja zao palepale wakati...
9 Reactions
85 Replies
2K Views
Habari zenu ..... Wanajamvi naomba kujua sababu ya kuona vitu au siku zinajirudia yani naweza kukaa siku nikaona kama matukio yanajirudia Yan nikaona kama hiyo siku nilishawahi kuiona na kufanya...
18 Reactions
100 Replies
21K Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
18 Reactions
149 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,850,500
Posts
49,548,270
Members
667,504
Latest member
tonnie de viola
Back
Top Bottom