Kwa kiasi kikubwa haiwezi kupingika ya kuwa ili tuwe na Tanzania bora tunayohitaji lazima tuweke nguvu kubwa katika swala zima la malezi ya watoto na vijana kwani wao kwa kiasi kikubwa ndio...
Watu wanatushauri kabla hatujaamua kuoa mke basi tumchunguze. Mtu utamchunguza vipi ikiwa hukai naye yupo kwao na wewe uko busy na kazi. Yaani unampimaje mtu huruma yake na uvumilivu wake ikiwa...
Tuwekane sawa
#Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu.
#Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
Heshima kwenu!
Kila mkoa una neema na changamoto yake. Nilifanikiwa kuwa moja ya mafundi katika ujenzi wa stend mpya Sumbawanga.
Kazi ilikwenda vizuri lakini vijana wangu wa kiume wasaidizi...
Sultan Tamba na kundi lake la Tamba Arts group ambapo humo ndani unakutana na waigizaji kama Riyama Ally, Mwajabu Kazimili (Bi Nyamisi),Rehema Msangule (Doreen Nsyuka),Sanjo,Ringo,Chilisosi, nk...
Wanafunzi sita wa shule ya mtakatifu John Paul II ya mkoani Shinyanga walienda kutoa mahindi kwenye kihenge cha shule lakini yalishindwa kutoka wakiwa na mwalimu wa zamu katika usimamizi wa...
Muhimu: Nilipelekwa huko ikiwa ni siri ya mimi na ndugu yangu ambae alishafariki, sehem tuliyofikia siikumbuki wala sina mawasiliano yoyote ya huko.
Kuna kipindi niliamini nina mikosi na nuksi...
Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote
Kiungo mshambuliaji wa Simba sc Kibu Densi amegoma kusaini mkataba mpya akiwa ameweka vikwazo vingi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.