Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi kama THE BEEKEEPER nikisikiliza nyimbo ya Eminem, not afraid. inanipa mzuka sana wa kufanya harakati zangu za kila siku. Kwako mdau ni ipi?
2 Reactions
23 Replies
273 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Kama Yanga inahitaji kufika anga za nusu au fainali basi iachane na hawa wachezaji ambao hawana special thing to offer. Afrika kuna players wazuri sana na wenye uwezo aina ya kina Aziz Ki, Yanga...
1 Reactions
9 Replies
121 Views
Leo nimekuja kutembea Morogoro, cha ajabu kuna mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini, wanakuwa kama wamelewa chakari. Kitaalamu hii inaitwaje? JamiiCheck fanyeni utafiti mje na...
1 Reactions
9 Replies
23 Views
Za chini chini naskia Kila mchezaji huko ukoloni (Simba) anataka kuforce kusajiliwa na Yanga .....alianza Chama Baada ya kuzinguliwa kamaind na kubeba begi Hadi kwao Kibu pia kwa lolote lile...
2 Reactions
15 Replies
412 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Awataka wabunge wa Zanzibar kuanzia sasa wachangie Wizara zinazowahusu, Awataka wawe wanatoka nje pale bunge linapojadili mambo yasiyo ya Muungano, sio wanatujazia foleni ya kuongea hata kwa mambo...
11 Reactions
269 Replies
27K Views
Kama mteja, uliwahi kukumbana na aina gani ya ugumu pale ulipohitaji msaada kutoka kwa huduma kwa wateja?
1 Reactions
7 Replies
91 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views

FORUM STATS

Threads
1,850,615
Posts
49,551,402
Members
667,553
Latest member
jhobby
Back
Top Bottom