Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna watu ustaarabu sifuri mtu kakukuta unakula mgahawani akaja kukaa kwenye meza yako ukaona utumie ustaarabu kumwambia na yeye aagize chakula maana sio vizuri kula huko mtu anakutazama usoni ...
6 Reactions
41 Replies
394 Views
MATE; Previous I wrote a topic centered on Illusion projection and I discussed a bit about how the brain process and encode memory, So this Topic will be serving as a stand-alone sequel of that...
42 Reactions
201 Replies
16K Views
Hahahaaaa taja faida kwa ñini unaishi single!
1 Reactions
39 Replies
355 Views
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
26 Reactions
260 Replies
10K Views
Kama mwanamume nilijisikia vibaya ila kwa lile Traako no ilikuwa lazima nichape Kuna demu alipata kazi za muda mkoa ninaofanya kazi sasa kuna siku natoka kazini nikapitia hapo ofisi yao uwa...
1 Reactions
10 Replies
200 Views
Habari wana Bodi. Nimekuwa nikiwaza mara kadhaa kuu ya hizi takwimu za mtandao wangu pendwa mzee nisie na makuu. Hivi ni sahihi kweli kwamba tuko watu laki sita na ushee tuu? Post zilizotumwa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Muhimu: Nilipelekwa huko ikiwa ni siri ya mimi na ndugu yangu ambae alishafariki, sehem tuliyofikia siikumbuki wala sina mawasiliano yoyote ya huko. Kuna kipindi niliwahi kwenda kwa mganga...
0 Reactions
3 Replies
23 Views
Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwa nini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili...
7 Reactions
61 Replies
706 Views
Kutoka insta live ya ally Kamwe , Leo engineer HERSI ametupa wananchi breaking news ya moto 😅😅 Engineer HERSI amesema kuwa katika msimu huu wa usajili dirisha kubwa , Kuna mchezaji mmoja uyo...
1 Reactions
22 Replies
618 Views
Bonjour, Hapo Zanziba usipofunga unakandikwa bakora lakini kufiran.a ruksa. Unashangaa ?! Watakwambia suna yakhe. Watu ma tamadudini za Arabia hasa hawa simbilisi weusi wavaa kanzu ni wanafiki...
1 Reactions
8 Replies
64 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,543
Posts
49,549,569
Members
667,539
Latest member
manageble
Back
Top Bottom