I will be short
Simba since last season wamepata offer nyingi za kibu denis wamegoma kuchukua hela.
contract yake inaisha wanataka kumpa new contract then wamuuze kwa faida. maana kuna over 600k...
Licha ya kuwa na timu nzuri,mipango mingi ya kimafia nje ya uwanja,na ushindi dhidi ya Simba,bado kumekuwa na kubebwa sana kwa hii timu ya serikali.
Ni kawaida wachezaji wa hii timu huwa na...
Hivi kwanza ni kwanini shule nyingi tena za serikali hazina uzio? Nyingine za wasichana na wanaishi hosteli, hivi kweli tangu uhuru mpaka sasa tumeshindwa tu kuweka uzio kwenye mashule yetu? Shule...
Shirikisho la wafanyakazi limesema Mkoa wa Arusha chini ya RC Makonda umevunja rekodi ya kufanikisha Sherehe za Mei Mosi kwa Viwango vya Juu kabisa
Source TBC
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Miaka ya 2019 - 2020 nikiwa shule (advance) niliwahi kuzama kimapenzi na mtoto wa watu (alikua amehamia shuleni pale kwa muda).
Alikua karibu sana na mimi na tulishea mengi sana (lifestyle and...
Kwa sasa ni Mbunge wa Nyali huko Mombasa. Kabla ya kujikuta kwenye siasa, alikuwa ni Mwandishi machachari wa habari za kichunguzi zilizokuwa zikirushwa katika kipindi kilichopata umaarufu mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.