Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

MITHALI 18:22 Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA. WAEFESO 5:31 “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa...
19 Reactions
160 Replies
3K Views
Mwishoni mwa mwaka Jana, nilienda nchini Kenya kupitia mpaka wa Sirari. Kwa sababu nilifika "border" Usiku, niliamua kulala gesti ili niendelee na safari Asubuhi yake. Nilimka vizuri, na...
2 Reactions
5 Replies
143 Views
Heshima kwenu! Kila mkoa una neema na changamoto yake! Nilifanikiwa kuwa moja ya mafundi katika ujenzi wa stend mpya sumbawanga! Kazi ilikwenda vizuri lakini vijana wangu wa kiume wasaidizi...
1 Reactions
5 Replies
68 Views
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano. Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa...
0 Reactions
43 Replies
793 Views
GTs, Nimekuwa nikiona wana jukwaa mnavyomsema vibaya Christina kisa kuachana na mume wake Mzee Shusho. Wengi wenu ni wanaume ambao hamjui hali aliyoipitia Christina ktk maisha yake ya kuolewa ktk...
2 Reactions
41 Replies
652 Views
Hii nchi ina mambo ya ajabu sana mpaka mtu unashindwa kuelewa hizi taasisi zinafanyje kazi. Mfano mzuri Shirika la Viwango pamoja na Tume ya Kuwalinda Walaji ziko wapi wakati watu wanaingiza...
0 Reactions
1 Replies
13 Views
Kuna Mdada ni mteja wangu mkubwa katika biashara Yangu,Yupo vizuri kimaisha,Kama mwanaume nilijikuta nikimtamani mana ni mtu na nusu Ila kabla ya kumtongoza nilikuwa Namuuliza kama Ana mume Cuz...
8 Reactions
107 Replies
2K Views
Salaam, Shalom!! INTRODUCTION. Sifa kuu ya KAZI, ni iwe halali, pili iwe na malipo ya kuweza kukusustain maisha Yako, yaeza kuwa umejiajiri au umeajiriwa, KAZI ni KAZI, ilmradi mkono uende...
4 Reactions
40 Replies
1K Views
Habari yenu wana JF nipo kwenye mahusiano mwanaume, ambaye hata sielewi anaumwa au ana tatizo gani, nimejitaidi kwa hali lakini bado hapati afadhali. Yaani mkikutana faragha mashine yake...
4 Reactions
92 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,458
Posts
49,547,144
Members
667,477
Latest member
ramadhanramadhan
Back
Top Bottom