Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
Mara ya kwanza nilioona suala hili Royal Village, nimekuta wapiga picha kibao, ukikaa sura wazi wanakukochoa, na mtu umeshalipa hela nyingi kukaa kwa amani, ukitaka picha utawaita mwenyewe ila...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeiamuru Benki ya CRDB kumlipa fidia ya Sh300 milioni Zawadi Bahenge kwa kutumia picha yenye sura yake kwenye matangazo ya kibiashara bila ridhaa yake.
Pia...
Mwanafunzi Wa Chuo kikuu Cha SAUT Campus ya Mwanza Amefariki Dunia Alipokuwa Ameenda kuogolea Kando Kando Kando ya Ziwa Victoria Maeneo ya Sweya Beach.
Taarifa hiyo ilitolewa Na Wenzake Ambao...
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,
Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu.
#Samia hakamatiki
====
Below are...
Tatizo kubwa la mikopo ya Kausha damu ni shida zinazo wakabili wananchi na haswa watumishi wa umma ambao ndio wahanga wakuu wa kukaushwa damu.
ushauri wangu kwa serikali ni.
wizara ya...
Kwa sasa ni Mbunge wa Nyali huko Mombasa. Kabla ya kujikuta kwenye siasa, alikuwa ni Mwandishi machachari wa habari za kichunguzi zilizokuwa zikirushwa katika kipindi kilichopata umaarufu mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.