Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?! 2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa...
1 Reactions
34 Replies
280 Views
nimesikitika kuona Yanga sc kufungiwa kusajili kwa sababu ya kutomlipa pesa aliyekua mchezaji wa Yanga sc LAZARO kAMBOLE , kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa FIFA waliiandikia barua YANGA mapema tu...
4 Reactions
68 Replies
766 Views
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
GTs, Nimekuwa nikiona wana jukwaa mnavyomsema vibaya Christina kisa kuachana na mume wake Mzee Shusho. Wengi wenu ni wanaume ambao hamjui hali aliyoipitia Christina ktk maisha yake ya kuolewa ktk...
1 Reactions
17 Replies
271 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeiamuru Benki ya CRDB kumlipa fidia ya Sh300 milioni Zawadi Bahenge kwa kutumia picha yenye sura yake kwenye matangazo ya kibiashara bila ridhaa yake. Pia...
10 Reactions
28 Replies
1K Views
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na...
6 Reactions
111 Replies
2K Views
Heshima yenu wakuu, Sikubaliani na kitendo cha Serikali ya Tanzania kutaka Kuwatengenezea Daraja la Peke yao watu wa Masaki. Huu ni Ubaguzi wa hali ya juu na Itafanya sisi Masikini tuendelee...
40 Reactions
255 Replies
43K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha. Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo.. Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama...
10 Reactions
58 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,324
Posts
49,543,589
Members
667,408
Latest member
Masele mhunzi
Back
Top Bottom