Viongozi wanatulaumu wananchi wakihisi huwenda sisi ndio sababu ya nchi kutokupiga hatua, huku sisi wananchi kwa 100% tukiutupa mzigo mzima wa lawama kwa viongozi maana wao ndio watunga sera zote...
Pamoja na safari za nje kuongezeka kwa kasi na kuvunja rekodi ya nchi ambayo rais wake hufanya safari sana still mafuta yanazidi kupanda
Pamoja na hii serikali kujipendekeza kwa waarab kupita...
Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda...
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola.
Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza.
Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba...
Hivi ndivyo tunavyotakiwa kusema, kwani Kuna mtumishi Moja ametoka kusherehekea MEIMOSI napa Arusha ana huzuni kubwa kwani hakuna hata tarajio Moja lililosemwa kama motisha kwa WAFANYAKAZI...
Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup.
Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi...
Ndugu zangu Watanzania,
Sina maneno mengi zaidi ya inavyosomeka hapo juu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania...
Wadau mtaniwia radhi kwa hili,
Nimeshuhudia mara nyingi kwa wanasiasa kuwa leo anamsimamo huu kesho ule.
Na leo limejirudia kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha mheshimiwa Paul makonda.
Wakati ule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.