Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Blinken aitolea wito Hamas ikubali 'pendekezo barabara sana' la kusitisha vita Ghaza Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ameitolea wito Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wakuu kwa mwenye elimu juu ya hlo jambo naomb anijuze... Ahsante nawasilisha
3 Reactions
50 Replies
54K Views
Kwanzia nianze kuomba hizi kazi zaidi ya mwaka sjawai itwa kwenye interview,. Nimetuma maombi karibia mara 40 na vigezo vyote wanavyotangaza ninavyo. Hata watu nao wafahamu ambao walishawai...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?! 2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa...
1 Reactions
21 Replies
153 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Wafanyakazi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wataongezewa posho ya shilingi elfu hamsini (50,000) ya...
2 Reactions
5 Replies
143 Views
Hii inawahusu watoto wanaoasiliwa wakiwa wadogo, kabla ya "kujitambua". Ukiema usubiri mpaka awe mtu mzima ndipo umwambie ukweli, inaweza isiwe sahihi. Kunaweza kumwumiza nafsi kufahamu kuwa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
24 Reactions
284 Replies
4K Views
Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup. Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi...
14 Reactions
62 Replies
1K Views
KASHFA KAIMU AFISA MTENDAJI DSE, MSHUKIWA NAMBA MOJA USAJILI WA KAMPUNI YA KITAPELI YA JATU. Duh! Hatari sana. Wakati tukisubiri Board ya DSE waje na majibu kwanini wali-approve kampuni feki...
7 Reactions
18 Replies
297 Views
Hakika hiki ni kichekesho! Katika siku muhimu kama Mei Mosi kwa wafanyakazi.wanaowazia hatima ya kazi zao, mishahara na mafao yao ya kustaafu, pension zao, kupandishwa vyeo na kila linalowasibu...
4 Reactions
11 Replies
152 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,248
Posts
49,541,124
Members
667,370
Latest member
slasymagai
Back
Top Bottom